
Kolekshen yenye baadhi ya memba wa Maujanja Crypto Komnyuniti yetu hasa ya WhatsaApp Grupu na Klabhaus. Imeundwa kwa ajili ya ku sapoti kazi inayofanywa na Maujanja Kraipto ili ku peleka maujanja kwa wana ambao ni "No Coiners". Hii itafadhili event za offline pamoja na kulipia Ads.
462Views